HONGERA SANA kwa UTEUZI !!!!!

Waziri mwenye dhamana ya Elimu Prof. Joyce L. Ndalichako amemteua Dkt Siston Masanja Mgullah kuwa MTENDAJI MKUU wa ADEM kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia tarehe 1 Julai, 2018. Kabla ya uteuzi huu Dkt Siston Masanja Mgullah alikuwa Mtendaji Mkuu wa ADEM. Hongera sana Mtendaji Mkuu.