ADEM Logo

Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu

Chukua hapa Fomu ya kujiunga na Kozi za ADEM kwa mwaka wa masomo 2024/2025

01 May, 2024

Mtendaji Mkuu anawatangazia  Walimu na wadau wote wa elimu nchini kuwa ADEM imeanza kupokea maombi ya kujiunga

na mafunzo yanayotolewa na ADEM katika mwaka wa masomo 2024/2025. Ili kufanya maombi tafadhali Pakua fomu ya kujiunga na ADEM katika link hapo chini.

HII HAPA FOMU YA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM MWAKA 2024/2025